faulink MICRO-CREDIT inakupa mfumo rahisi wa kufungua account, kuomba mkopo, kufuatilia marejesho, kuona taarifa zako na kupata msaada kwa haraka bila usumbufu.
Anza huduma yako kwa hatua chache.
Tumeweka huduma zote muhimu kwenye mfumo mmoja ili mteja apate urahisi wa kuomba mkopo, kufuatilia malipo na kupata msaada muda wowote.
Fungua account na tumia taarifa zako kuomba huduma bila kurudia kujaza kila mara.
RegisterTuma maombi ya mkopo kwa haraka na fuatilia hatua ya ombi lako kupitia mfumo.
Apply LoanWasiliana nasi kupitia simu au email kwa maswali kuhusu account au mkopo wako.
Contact SupportFuata hatua hizi nne kupata huduma ya mkopo na kufuatilia taarifa zako kwa urahisi.
Tengeneza account yako kwa kujaza taarifa zako za msingi.
Ingia kwenye mfumo kwa username/email na password yako.
Jaza fomu ya maombi ya mkopo na tuma kwa ajili ya kuhakikiwa.
Fuatilia status, ratiba ya marejesho na taarifa zako muhimu.
Weka kiasi cha mkopo, riba na muda wa marejesho ili kuona makadirio ya jumla ya malipo, riba na kiasi cha kulipa kila mwezi.
Jaza taarifa hapa chini kupata makadirio.
Riba: TZS 75,000
Jumla ya malipo: TZS 575,000
Fungua account leo, tuma ombi la mkopo na fuatilia huduma zako kupitia mfumo wa faulink MICRO-CREDIT kwa urahisi na usalama.