0702784299 info@faulinkmicro-credit.co.tz
Dar es Salaam, Tanzania Huduma salama na ya haraka
Mikopo ya haraka, huduma ya kuaminika

Pata mkopo kwa urahisi, simamia malipo na jenga maendeleo yako

faulink MICRO-CREDIT inakupa mfumo rahisi wa kufungua account, kuomba mkopo, kufuatilia marejesho, kuona taarifa zako na kupata msaada kwa haraka bila usumbufu.

24/7

Upatikanaji wa mfumo

Fast

Maombi ya haraka

Secure

Taarifa zako salama

Karibu faulink MICRO-CREDIT

Anza huduma yako kwa hatua chache.

Fungua Account
Jisajili na uhifadhi taarifa zako kwa usalama.
Tuma Maombi ya Mkopo
Jaza ombi lako moja kwa moja kupitia mfumo.
Fuatilia Huduma
Angalia status, marejesho na taarifa muhimu.
Huduma Zetu

Huduma muhimu kwa mteja wa micro-credit

Tumeweka huduma zote muhimu kwenye mfumo mmoja ili mteja apate urahisi wa kuomba mkopo, kufuatilia malipo na kupata msaada muda wowote.

Account ya Mteja

Fungua account na tumia taarifa zako kuomba huduma bila kurudia kujaza kila mara.

Register

Maombi ya Mkopo

Tuma maombi ya mkopo kwa haraka na fuatilia hatua ya ombi lako kupitia mfumo.

Apply Loan

Marejesho

Angalia ratiba ya marejesho, balance na historia ya malipo yako kwa uwazi.

View Schedule

Msaada wa Haraka

Wasiliana nasi kupitia simu au email kwa maswali kuhusu account au mkopo wako.

Contact Support
Hatua Rahisi

Jinsi ya kuanza kutumia huduma

Fuata hatua hizi nne kupata huduma ya mkopo na kufuatilia taarifa zako kwa urahisi.

1

Register

Tengeneza account yako kwa kujaza taarifa zako za msingi.

2

Login

Ingia kwenye mfumo kwa username/email na password yako.

3

Apply Loan

Jaza fomu ya maombi ya mkopo na tuma kwa ajili ya kuhakikiwa.

4

Track

Fuatilia status, ratiba ya marejesho na taarifa zako muhimu.

Loan Calculator

Kokotoa makadirio ya mkopo kabla ya kutuma maombi

Weka kiasi cha mkopo, riba na muda wa marejesho ili kuona makadirio ya jumla ya malipo, riba na kiasi cha kulipa kila mwezi.

Riba

Badilisha asilimia kulingana na aina ya mkopo.

Muda

Chagua miezi ya marejesho unayotaka.

Loan Calculator

Jaza taarifa hapa chini kupata makadirio.

Malipo ya kila mwezi

TZS 95,833

Riba: TZS 75,000

Jumla ya malipo: TZS 575,000

Uko tayari kuanza safari yako ya mkopo?

Fungua account leo, tuma ombi la mkopo na fuatilia huduma zako kupitia mfumo wa faulink MICRO-CREDIT kwa urahisi na usalama.